You are here
Home > VIDEOS > KYMO AND STIGAH – THITHIMA ANTHEM | KENYA

KYMO AND STIGAH – THITHIMA ANTHEM | KENYA

Lyrics:

(Vuvuvuv!!!)
Eish! buana,kiki kel tugo itich,apana mcheeso
ma akech ka apilo.

chesa nikaa umepigwa raadi (yaawa)
chesa nikaa umepigwa raadi (eis)
chesa nikaa umepigwa raadi (eh)
chesa nikaa umepigwa raadi (hi)

Neno la baaba, ni kama (Vuuvuvuv)
Neno la baaba, ni kama (Omeera)

Usichese na neeno, nikama (eh)
Usichese na neeno, ni kama (Omeera)
Usichese na neeno, ni kama (ih)
Usichese na neeno, ni kama

KEIT VAS
Siku Moja huko binguni (eh)
Setani leta Nyoko nyooko (Saitan)
Anataka geusa Serekaal (eeeh!)
Kumbe Sir Godi ako raada (eeh!)
Mungu piga setani raaadi (eeeh!)
nakwambia setani alisukiswa (eh)
pamoja na mapepo zake (eeeh)
akasikia kama brrrrrrrrrr……(jijazie)

Goliatho jitu limekula sembe (omera)
Daudi kijana kuchunga mbuus (eish)
Si siku moja bas wakapatana (eh)
Unadhani Goliatho atabonda Daudi (eis)
Goliatho kujia Daudi (eei)
Daudi kuchukua jiiiwe (eee)
Chapa Goliatho nayo kichwa (pPa!..ng’ehehe!!)
Goliatho kasikia kama brrrrrrrrrrr………

Chesa nikaa umepigwa raadi (thiitima)
Chesa nikaa umepigwa raadi
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima

KEIT VAS
Musa kagawanisa maji (maji)
Waisiraeli wakapita katikati (katikati)
Si Farao akawafuata nyuma (nyuma)
akidhani atawasiika (eis)
Si mungu ni wa ajabu (ajabu)
Alingoja tu waisraeli wapite (eeeiiis)
walipomaliza kupita (eEERr)
Farao aliskia kama bbrrrrrrrrrr……..
Kumbuka Sodoma Gomora (Gomora)
venye ilikua imejawa dhambi (wachana na dhambi)
si Mungu kawaambia tubu (tubu)
Si wakadhani ni mcheso (chesoo)
Mungu katumania loti (He Heee)
Kamwambia atoke huko upesi
Hata hakua amefika mbali
Sodom Gomora waliskia kama brrrr……..

Chesa nikaa umepigwa raadi (thiitima)
Chesa nikaa umepigwa raadi
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima

KEIT VAS
Kuna kijana anaitwa Uzza (uzza)
Walibeba sanduku la agano (ii)
kidogo tu likateleza (IIII)
Si Uzza akadhani linaduunda (duunda)
akakimbia kulisikilia (sikilia)
kumbe sanduku la agano haliguswangwi (eish)
na kumbe jamaa hakua na form (hey-Heey)
kidogo kidogo jamaa akaskia brrrrrr…….
Siku moja wana wa Israeli (hey-Heey)
Walifika mji Jeriko (eeei)
Wakakuta kumefungwaa (Fungwaa)
Si waka ansa kusunguka-Ukuta (eh…eei)
waki imba na kusifu (sifu?)
Wajeriko wakadhani ni mchesoo (Mcheeso)
Si ungoje ifike mara ya saba (hey-Heey)
Wajeriko waliskia kama brrrrrr…….

Chesa nikaa umepigwa raadi (thiitima)
Chesa nikaa umepigwa raadi
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima
wuuuuuuuwu Ni Thiitima
Ikibamba sana sema Thiitima
………………………………………………………..

Facebook Comments
Radio Huru
Radio Huru is inspired by the Swahili word ‘Huru’ that denotes freedom. We promote music. Contact us on radiohuru@gmail.com
http://radiohuru.com

Leave a Reply

Top