RADIO HURU

PENYE NEEMA | MARIAM MWINJUMA | JAHAZI MODERN TARAAB

Jahazi modern taraab chini ya untunzi wake Mzee yusufu wanakuletea “Penye neema” .

Mzee anatudhihilishia umma kupita wimbo huu. Ukisikiliza wimbo huu kuna kipande mshahiri anasema,
‘jicho la ubaya kwangu mnalo niangalia ndio mimi kanipa mungu” ni maneno yenye kufundisha juu ya maisha yetu kila siku tunayoishi Duniani.

Maana halisi ya wimbo huu ni Binadamu tusichukiane pale unapona mwenzio amefanikiwa katika swala zima la kimaendeleo/maisha. Hongereni sana wa Nashki nakshi hongereni sana Jahazi.

Wimbo umeimbwa na Mariam Mwinjuma na Video imeongozwa na Khamis Suleiman. Producer ni Dolphin Digital.

Facebook Comments
Music lover and writer. Twitter: @alembah

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *